Klabu ya Romania UTA Arad imethibitisha kwamba mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Richard Odada, atakuwa nje ya uwanja kwa takriban miezi sita baada ya kupata jeraha katika kiwango cha tatu cha katikati ya mguu wake wa kulia. Jeraha hilo halihitaji upasuaji, huku Odada sasa akijiandaa kuanza kupona, na ukarabati huku akitarajia kurejea uwanjani. Hili ni pigo kubwa kwa  Harambee Stars wanaojiandaa kwa mkondo wa kwanza wa mechi za kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Afrika Kusini, Guinea na Eritrea katika kundi D.




Jua linashuhudiwa Nyahururu, Nyeri na Nanyuki.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.