Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua anautaka upinzani kwenda zaidi ya kumkosoa Rais William Ruto na badala yake kuwahamasisha Wakenya kumshinda kwenye kura. Gachagua anasema wito wa kumwondoa Ruto kupitia njia zisizo za kikatiba unapaswa kukataliwa, akisisitiza kwamba upinzani lazima uzingatie usajili wa wapiga kura na idadi ya watu wanaojitokeza. Anasema Wakenya wanapaswa kutumia Uchaguzi Mkuu wa 2027 kuamua kidemokrasia ni nani atakayetawala nchi.
RIGATHI GACHAGUA – REGISTER