Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja anasema mageuzi ya afya yanayotekelezwa na serikali za kitaifa na za kaunti yamechangia pakubwa katika kupunguza vifo vya akina mama. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Afya jijini Nairobi, Sakaja alisema ushirikiano wa karibu kati ya ngazi hizo mbili za serikali na huduma bora za afya unasaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto wachanga.

JOHNSON SAKAJA - DEATHS