Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua ameapa kumuunga mkono mgombea urais wa Upinzani dhidi ya Rais William Ruto mwaka wa 2027 ikiwa hatachaguliwa kuwa mpeperusha bendera. Gachagua alisema atahudumu kama mkurugenzi wa kampeni wa mgombea huyo, akiongeza kuwa yeye na wafuasi wake walikuwa tayari kujitolea. Alisema umoja wa upinzani nyuma ya mgombea mmoja unatoa nafasi nzuri ya kumshinda Ruto.
RIGATHI GACHAGUA - WAY