Mkutano wa Afya wa Kenya umeanza katika ukumbi wa KICC, huku Rais William Ruto akiwa tayari katika ukumbi huo kufungua rasmi tukio hilo la siku mbili. Mkutano huo unawaleta pamoja wadau muhimu katika sekta ya afya ili kujadili vipaumbele na mikakati ya kuimarisha utoaji wa huduma za afya. Waonyeshaji mbalimbali wa sekta ya afya pia wanaonyesha huduma na ubunifu wao katika mkutano huo.

VOX POP-DISPLAY