Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amethibitisha tena kujitolea kwake kukomesha mvutano kuhusu bajeti ya 2026/27, akionya kwamba wakaazi wanabeba mzigo mkubwa wa huduma zilizocheleweshwa. Gavana Ndeti ambaye alizungumza huko Kithimani jana alisema ataitisha mazungumzo na Bunge la Kaunti ili kutatua mzozo huo ambao umevuruga shughuli za kaunti.
WAVINYA NDETI – STALEMATE