Wito wa umoja wa kitaifa umeongezeka huku Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Baadhi ya viongozi kutoka West Pokot wamewasihi Wakenya kudumisha amani na kukataa kauli za mgawanyiko kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Viongozi hao pia walisifu utawala wa Rais William Ruto kwa kile walichokielezea kama maendeleo katika kutekeleza miradi kote nchini.

VOX POP-CALLS