Seneta wa Murang'a Joe Nyutu amemtetea kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua na upinzani dhidi ya madai kwamba hawana ajenda zaidi ya kutaka Rais William Ruto aondolewe katika uchaguzi wa 2027. Akizungumza kwenye NTV, Nyutu alisema urais wa Gachagua utalenga kurejesha heshima katika sekta muhimu kama vile afya, elimu miongoni mwa sekta zingine ambazo anadai zimezorota chini ya utawala wa sasa.

JOE NYUTU-RESTORE