Mbunge wa Suba Kusini, Caroli Omondi, anasema nguvu ya kisiasa ya jamii ya Waluo iko katika ushirikiano wake wa muda mrefu na jamii zingine za Kenya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Linda Mwananchi huko Homa Bay jana, mbunge huyo aliahidi kudumisha urafiki na mitandao ya kisiasa iliyojengwa na marehemu Raila Odinga kwa miaka mingi wanapotafuta umoja unaoendelea.

CAROLI OMONDI – COMMUNITIES