Baraza Kuu la Waislamu Nchini SUPKEM linawaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia siasa za vyama kuwagawanya Wakenya likisema maendeleo ya nchi na ustawi wa raia lazima viwe vya kwanza. Baraza hilo linaloongozwa na mwenyekiti Hassan Ole Naado linasema wanasiasa hawapaswi kugeuza mjadala wa baada ya mwaka 2030 kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa.

HASSAN OLE NAADO – WARNING