Mwanasheria Mkuu wa zamani Justin Muturi amelaani vurugu za kisiasa na mashambulizi dhidi ya waandishi wa habari huko Homa Bay, akisema kila Mkenya ana haki ya kutembea kwa uhuru, kufanya kampeni kwa amani na kushirikiana na wengine bila kujali itikadi zao za kisiasa. Muturi anasema hakuna sehemu yoyote ya nchi inayopaswa kuwa eneo lisiloruhusiwa kwa kundi lolote la kisiasa. K
JUSTIN MUTURI – ATTACK