Naibu Kiongozi wa Jubilee Fred Matiang'i anasema vurugu za jana huko Homa Bay zinaashiria kwamba nchi inaingia katika machafuko. Matiang'i anadai mashambulizi yanayowalenga viongozi wa Linda Mwananchi yalipangwa kwa ufahamu wa Serikali. Anaongeza kuwa kiwango cha uhuni kilichoshuhudiwa Homa Bay ni tukio la kutitishia uhuru wa kisiasa na ushiriki wa kisiasa wa amani kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
FRED MATIANGI – VIOLENCE