Ulaghai na usimamizi wa mabadiliko bado ni changamoto mbili kuu zinazokabili utekelezaji wa SHA. Mkurugenzi Mtendaji Mercy Mwangangi anasema ulaghai huo unahusisha maafisa wa SHA, hospitali na baadhi ya Wakenya. Anakiri kwamba mengi yanahitaji kufanywa ili kuunda uelewa miongoni mwa Wakenya kuhusu jinsi SHA inavyofanya kazi na kuwasaidia kuelewa mabadiliko yaliyoletwa na mfumo huo mpya wa ufadhili wa afya.
MERCY MWANGANGI - AWARENESS