Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Group, Chaacha Mwita, amelaani kutekwa nyara kwa mhariri Alex Kiprotich, akiitaja kuwa shambulio la moja kwa moja kwa uhuru wa vyombo vya habari na utawala wa sheria. Akizungumza karibu na Bwawa la Masinga ambapo Kiprotich alipatikana amewachwa, Mwita alionyesha mshtuko mkubwa, akisema kwamba kukandamizwa kwa uhuru wa vyombo vya habari hakuna nafasi nchini Kenya leo.


CHAACHA MWITA – ABDUCTION