Mwanagainakolojia Davis Kibi ameonya dhidi ya kutumia mifumo ya mtandaoni kugundua magonjwa au kutafuta dawa. Anawashauri wagonjwa kuthibitisha taarifa yoyote ya afya inayopatikana mtandaoni na daktari aliyehitimu kabla ya kuchukua hatua, akiongeza kuwa maoni ya pili yanapaswa pia kutoka kwa wataalamu wa matibabu, sio mtandao. Kibi anakiri kwamba "Dkt. Google" imekuwa changamoto kubwa kwa wahudumu wa afya.
DAVIS KIBI - GOOGLE