Kiongozi wa Wiper KalonzoMusyoka amepinga mbinu ya kidiplomasia ya kikanda ya serikali, akionya kwamba kuingiliwa kwa sera za kigeni kunawatenga washirika muhimu wa biashara kama Sudan. Akizungumza mjini Mombasa baada ya kukutana na maafisa wa Chama cha Biashara ya Chai cha Afrika Mashariki, Kalonzo alionya dhidi ya vitendo vinavyohatarisha kugeuza Bandari ya Mombasa kuwa sehemu ya mvutano, na kutishia utulivu wa kikanda na ujirani.

KALONZO MUSYOKA - PORT