Mkurugenzi Mkuu wa Afya Patrick Amoth anasema Ebola bado ni tishio kubwa kwa afya ya umma, huku hali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bado ikiendelea. Anasema Uganda imedhibiti mkurupuko wake, lakini Kenya bado iko hatarini kwa sababu Nairobi ni kitovu cha usafiri kikanda. Amoth anasema visa nchini Congo na Uganda vimezidi 4,200, huku vifo vikikaribia 1,900 na kiwango cha vifo cha asilimia 46.
PATRICK AMOTH - THREAT