Chama cha Wauguzi Nchini kimesisitiza kwamba mgomo wake utaendelea licha ya mazungumzo yanayoendelea. Mweka Hazina wa Kitaifa Maureen Zioka anasema Baraza la Magavana limeshindwa kutia saini Mkataba wa Majadiliano ya Pamoja kwa miaka tisa, na kuongeza kuwa chama hicho kitarejea kazini tu mara tu madai yake yatakaposhughulikiwa na hakitatii amri ya mahakama ya kusimamisha mgomo huo.
MAUREEN ZIOKA – REJECT