Kiongozi wa chama cha UGM, David Maraga, anasema mashauriano na viongozi wengine wa upinzani yanayolenga kuunda umoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 yanaendelea vizuri. Akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa chama hicho huko Taita Taveta, jaji huyo mkuu wa zamani alisema kwamba lengo kuu la muungano huo ni kujenga serikali mbadala ambayo imejitolea kukabiliana na ufisadi na kuimarisha utawala.
DAVID MARAGA - KAZI