Chama cha maafisa wa kliniki kinatoa wito kwa Baraza la Magavana kuanzisha Mamlaka ya Afya kushughulikia ustawi wa wahudumu wa afya. Mwenyekiti wa chama hicho Peterson Wachira anasema mamlaka hiyo itapewa jukumu la kuajiri na kuwalipa wafanyakazi wa afya. Anasema wataendelea kugoma hadi wafanyakazi wa UHC watakapoajiriwa kwa masharti ya kudumu na ya kustaafu.

PETERSON WACHIRA – DEMANDS