Waziri wa zamani Fred Matiang'i ameshauriwa kuachana na azma yake ya urais ya mwaka 2027 na kujiunga na serikali pana. Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga anaamini kwamba siku za Matiang'i katika upinzani zinahesabika ikiwa matamshi ya hivi karibuni ya kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua ni ya kuzingatiwa.
GLADYS WANGA – MATIANG’I