Wanawake ambao wamekatwa titi moja kutokana na saratani bado wanaweza kunyonyesha watoto wao. Mtaalamu wa lishe Eric Ngereso anasema lishe bora, usaidizi wa kisaikolojia, na kunyonyesha mara kwa mara kunaweza kuhakikisha utoaji wa maziwa ya kutosha kutoka kwa titi lililobaki.
ERIC NGERESO – BARRIER