Je, una wasiwasi kuhusu kupata mtoto baada ya upasuaji wa kuondoa matiti? Unajiuliza kama maziwa mbadala ya mama ni salama kwa mtoto wako? Mtaalamu wa lishe Eric Ngereso anasema maziwa ya mkebe ni salama na yenye afya kwa watoto wachanga, lakini anaonya dhidi ya maziwa ya ng'ombe. Anasema benki za maziwa ya mama pia hutoa chaguo la kuaminika kwa akina mama ambao hawawezi kunyonyesha na zinapatikana humu nchini.
ERIC NGERESO – OPTIONS
Read Also