Mshambuliaji wa zamani wa KCB na Kakamega Homeboyz, Derrick Otanga, anatarajiwa kujiunga na Shabana FC, huku mazungumzo yakiendelea kuhusu mkataba wa miaka miwili. Timu hiyo ya Gusii pia imemsajili kiungo Edwin Jumba kutoka Nairobi City Stars, beki Alex Onchwari kutoka Tusker FC na Rashid Moyo kutoka Equity FC. Shabana pia wameachana na kipa Caleb Omondi ambaye alikuwa kwa mkopo kutoka Gor Mahia. Kwingineko, beki wa Mathare United, Victor Kayugi, amejiunga na Kenya Police FC.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nanyuki, Meru na Isiolo.
Read Also
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.