Luis Figo amekuwa mchezaji wa kwanza wa zamani maarufu kumtaka Gianni Infantino ajiuzulu mara moja kama rais wa FIFA. Katika jarida la Daily Mail, Figo anaelezea kile alichokiona katika siku 10 zilizopita kama tabia ya ubinafsi ya chini kabisa na ya udanganyifu zaidi ambayo amewahi kuishuhudia. Figo alichezea Sporting, Barcelona, Real Madrid na Inter Milan. Amekuwa mshauri wa soka wa UEFA tangu mwaka 2017. Alikuwa mgombea kwa muda katika uchaguzi wa rais wa FIFA wa 2015.
Read Also
Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.