Chama cha Wakuu wa Shule za Upili Kenya kimetoa wito wa ongezeko la fedha za masomo na mapitio ya ada za shule kwa shule za kutwa na za bweni ili kuendeleza shughuli. Mwenyekiti Willy Kuria anasema mgao wa sasa ya Sh elfu 22 na Sh elfu 53 kwa shule za bweni haitoshi, akisema kwamba shule zinahitaji takriban Sh elfu 29 kwa mwanafunzi wa shule ya kutwa na Sh elfu 110 kwa mwanafunzi wa shule ya bweni kila mwaka.


WILLY KURIA - FEE