Uamuzi wa kutoa dhamana ya Sh. silingi elfu 200 kwa mwalimu wa madrasa wa Eastleigh anayetuhumiwa kuwanajisi binti zake wawili wa kambo na kumpachika mimba mmoja wao umezua wasiwasi. Wakili wa watoto Naomi Kajaira anasema hatua hiyo inaweza kuwatisha waathiriwa na kuhujumu harakati za kutafuta haki.
NAOMI KAJAIRA - BAIL