Liverpool wanajiandaa kutoa ofa rasmi kwa mshambuliaji wa PSG Bradley Barcola. The Reds wamefanya mazungumzo ya awali na wawakilishi wake na mchezaji huyo ana hamu ya kuhamia Anfield. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa ambaye mkataba wake unamalizika mwaka 2028, ana thamani ya takriban pauni milioni 145. Liverpool wanatafuta winga mpya wa kiwango cha juu kufuatia kuondoka kwa Mohamed Salah mwishoni mwa msimu uliopita.

Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Naivasha, Gilgil na Nakuru.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.