Mashirika ya haki za binadamu yanatoa wito kwa serikali kuhakikisha manusura wa unyanyasaji wa kingono na kijinsia unaohusiana na migogoro wanajumuishwa katika mpango wa kitaifa wa fidia. Makundi hayo yanayoongozwa na Muungano wa Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake na KHRC pia yanataka Jopokazi la Rais kuhusu fidia kuhakikisha upatikanaji sawa wa fidia kwa manusura na kuwashirikisha katika kutengeneza mfumo huo. Pia wamehimiza Mahakama kuharakisha kesi zinazowahusu manusura wa unyanyasaji wa kingono na kijinsia.


WILLIS OTIENO - COMPENSATION