Wasiwasi umeibuka kuhusu ongezeko la uraibu wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana baada ya kuondolewa kwa marufuku ya shisha. Mwenyekiti wa Muungano wa Kudhibiti Tumbaku Joel Gitali anasema vijana wengi wanaweza kutumia vibaya uhuru wa kutumia shisha, akionya kwamba ina tumbaku na vitu vingine vinavyoweza kusababisha uraibu.
JOEL GITALI – ADDICTION