Viongozi wa Linda Mwananchi wakiongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna leo wanatarajiwa kukutana na timu ya wataalamu kutoka nyanja mbalimbali ili kuandaa mpango kabla ya uchaguzi wa mwaka ujao. Mpango huo unaonasa mipango iliyopendekezwa na timu hiyo unatarajiwa kuwasilishwa kwa Wakenya huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2027 zikipamba moto.
EDWIN SIFUNA – MEETING