Uhaba wa fedha umelazimisha baadhi ya shule za upili kufunga mapema kuliko ilivyopangwa. Mwenyekiti wa Chama cha Wakuu wa Shule za Upili nchini Willy Kuria anasema shule zinajitahidi kukidhi gharama za uendeshaji na zinategemea usaidizi kutoka kwa wazazi, huku kufungwa mapema na kuchelewa kufunguliwa tena kukisaidia kupunguza gharama.
WILLY KURIA – FUNDING