Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang'o ameonya kwamba serikali inaendelea kukopa zaidi ya mipaka iliyoidhinishwa. Akiwa mbele ya Kamati ya Maombi ya Umma ya Bunge la Kitaifa, Nyakang'o alisema deni la umma sasa linafikia shilingi trilioni 12.8. Pia alishutumu kaunti kwa kuelekeza fedha zilizoidhinishwa na ofisi yake kwenye miradi na matumizi ambayo hayakuhitajika hapo awali.


MARGARET NYAKANG’O - AUSTERITY