Kushindwa kushughulikia matamshi ya chuki kwa ufanisi kumehusishwa na ukosefu wa nia njema ya kisiasa. Wakili Wangoma Mola anasema taasisi zinazohusika na utekelezaji wa sheria haziko huru kikamilifu kwa sababu zinaongozwa na watu walioteuliwa na serikali, akiongeza kuwa sheria za sasa zinatosha.


WANGOMA MOLA – SPEECH