IEBC imewaalika Wakenya kuwasilisha maoni yao kuhusu Rasimu ya Kanuni za Ufadhili wa Kampeni za Uchaguzi, mwaka 2026. Mabaraza ya umma yanafanyika katika makundi ya kikanda ikiwemo Mombasa, Nairobi, Kisumu, Garissa, Eldoret, Nyeri, Machakos, Nakuru, Isiolo na Kakamega. Akizungumza katika jukwaa la Machakos jana, Kamishna Alutalala Mukhwana alisema michango na mipaka iliyopendekezwa ya matumizi inalenga kuongeza usawa, uwazi, uwajibikaji na kuhakikisha usawa katika uchaguzi.
ALUTALALA MUKHWANA - IWAPO