Mabingwa wa Ufaransa PSG wanapigiwa upatu kumsajili kipa wa Parma Zion Suzuki msimu huu wa joto. Hii inakuja baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Japan mwenye umri wa miaka 23 kuwa na Kombe la Dunia zuri la mwaka 2026, licha ya kupoteza dhidi ya Brazil katika raundi ya 16. Hata hivyo, PSG inadaiwa haiwezi kumhakikishia Suzuki nafasi ya kuanza, hata wakati Matvey Safonov akiwa hana matokeo mazuri msimu uliopita. Juventus pia wamehusishwa na Suzuki, ambaye wanamwona kama nambari moja wao, iwapo Martinez atabaki Villa.



Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Mombasa, Kilifi na Malindi.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.