Naibu Rais wa zamani RigathiGachagua anasema ataanzisha kambi ya kijeshi huko Meru ikiwa atachaguliwa kuwa rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza jana, Gachagua alisema kambi hiyo, kwa ushirikiano na mashirika mengine husika ya usalama, itasaidia kuondoa magenge ya wizi wa mifugo yanayovamia kaunti hiyo, hasa katika eneo bunge la Igembe Kaskazini.


RIGATHI GACHAGUA – CAMP