Waziri wa Madini Hassan Joho ametoa wito kwa wapiga kura wa Pwani kumuunga mkono Rais William Ruto, akisema yeye ndiye kiongozi sahihi wa kukabiliana na changamoto za eneo hilo. Joho aliwaonya wakaazi dhidi ya kufanya maamuzi hatari ya kisiasa kwenye uchaguzi na kuwasihi kufuata mwongozo wa viongozi wao wanapojiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao.

HASSAN JOHO - RUTO