Rais William Ruto amethibitisha tena kujitolea kwake kwa huduma ya afya kwa wote sio tu kuheshimu ombi la harambee starlets bali pia kwa Wakenya wote, akisema kwamba kila Mkenya anastahili kupata huduma bora za matibabu bila kujali hali yake ya kifedha. Akizungumza katika Ikulu, Ruto alisema Mamlaka ya Afya ya Jamii sasa ina zaidi ya wanachama milioni 31.7 waliosajiliwa. Aliahidi kwamba serikali itahakikisha Wakenya wote, wakiwemo wale wanaohitaji matibabu maalum na upasuaji, wanapata bima ya matibabu kupitia mpango wa bima ya afya kwa wote nchini.
Advertisement
July 14, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 8AM 1ST SEPT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing