
Tanzanian singer Zuchu has announced that she has ended her relationship with her boss and singer Diamond Platnumz.
Zuchu said they came to the decision after a mutual agreement. The two have been dating for three years.
Check out fans' reactions;
ghostie: Somethings are inevitable like the sun will set today
Wambui 21: Maandishi haya si mageni jijiniiiii!
I am Maria Kisher: hii ni clout tu wameachana mara mingi sana
Ibrahim snow: Sukari imekuwa pilipili
Adi Moriso: We are not "suprized"
P Mumbi: Ata walijaribu sana kukaa 3 years….was bound to happen…good thing zuchu hajatoka na mtoto Ju WEUH
Holy Ck: Maandishi haya si mageni East Africa
Anko best furniture: Ilikuwa ishakuwa.
Xavier wa mchongoo: Zuchu anamuacha mondi kwa Mwaka mara tatu!
MCwillygrayson: Healing gani Tena na amesema ni mutual decision .
Rapahel Magambo: Maandishi haya si mageni jijini....Labda kwa mgeni jijini, lla kwa wenyeji wa jiji ni Maandishi tuliyoyazoea
Alice dacuute: Toka limeanza kuvunjika ni mda mrefu sana, vipande vya kuvunja venyewe vimeisha sasa
She is merry: Watupumzishe sasa tumechoka na Kiki zao
Officialine: uzuri kaka yetu hakuwai kutuambia kama yupo kwenye mahusiano
Jifunze kilimo: Haya mtuambie hiyo nyimbo mpya mnaachia leo au kesho
Medic msabaha: Walivyo tongozana hatukuona tangazo ,mlivyo kua mnakula raha hatukuona wala hamkutushirikisha mtuache na stress zetu
Official Lulu: Hio nyimbo itakuwa kaliii
Raphael_: Maandishi haya si mageni jijini....Labda kwa mgeni jijini, lla kwa wenyeji wa jiji ni Maandishi tuliyoyazoea
Comments 0
Sign in to join the conversation
Sign In Create AccountNo comments yet. Be the first to share your thoughts!