Idara ya utabiri wa hali ya Hewa nchini imeonya kuhusu hali mbaya ya baharini na upepo mkali kando ya pwani ya Kenya na maji ya pwani. Idara hiyo inasema upepo unaweza kufikia knots 24, huku upepo mkali zaidi na mawimbi makubwa yakitarajiwa katika baadhi ya maeneo. Mabaharia, wavuvi na waendeshaji wa boti ndogo wamehimizwa kuwa waangalifu, kuchukua hatua muhimu za usalama na kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa ya baharini.
Advertisement
October 23, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 23RD OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing