Huku Kenya ikijiandaa kuhudhuria Mkutano wa Urusi na Afrika jijini Moscow mnamo Oktoba 28 na 29, familia za Wakenya walioajiriwa kupigana katika vita vya Urusi na Ukraine bado zinatafuta majibu kuhusu jamaa waliopotea na waliokufa. Serikali inasema Wakenya 84 wameuawa au hawajulikani walipo, kati ya visa 354 vinavyohusiana na mzozo huo. Kenya inasema inawashirikisha mamlaka ya Urusi ili kufuatilia uwajibikaji, kusaidia familia zilizoathiriwa na kuimarisha ulinzi dhidi ya kuajiriwa bila utaratibu.
FAMILY – EVANS KIBET