Mkurugenzi Mkuu wa CDC wa Afrika Jean Kaseya anaonya nchi za Afrika kuimarisha utayari wa Ebola, akionya kwamba hakuna nchi iliyo salama kwa sababu tu ya umbali wake wa kijiografia kutoka kwa mkurupuko. Onyo la Kaseya linafuatia uthibitisho wa Nigeria wa kisa cha Ebola, na kuzua wasiwasi kuhusu hatari ya maambukizi ya mpakani na hitaji la ufuatiliaji imara, ugunduzi wa haraka na mifumo ya kukabiliana na dharura kote barani.

JEAN KASEYA – EBOLA