Macho yote yatakuwa yameelekezwa katika Mahakama ya Mombasa asubuhi ya leo, ambapo hatima ya mhubiri, Paul Mackenzie, na washitakiwa wenzake 35 itajulikana. Hukumu hiyo iliyosubiriwa kwa hamu inatarajiwa kutolewa kuanzia saa tatu unusu asubuhi na Jaji Diana Kavedza. Washitakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 191 ya mauaji yanayohusiana na kufukuliwa kwa miili kutoka kwenye makaburi ya pamoja katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi; makosa hayo yanadaiwa kutendeka katika kipindi cha kuanzia Januari mwaka 2021 hadi Septemba 2023.
Advertisement
October 19, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing