Jaji Mkuu David Maraga ameahidi kushughulikia kikamilifu suala la ufisadi iwapo atachaguliwa kuwa rais mwaka wa 2027, akisema kuwa wale watakaopatikana na hatia ya kuiba rasilimali za umma watachukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza katika Kanisa la SDA la Ngata Gate mjini Nakuru, Maraga alisema serikali yake itazingatia Katiba, kuheshimu mahakama na kusimamia uwajibikaji bila woga wala upendeleo. Aliwataka Wakenya kuwachagua viongozi kwa kuzingatia uadilifu, uwezo na dira ya wazi ya kitaifa, badala ya misingi ya kikabila.
Advertisement
October 14, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 8AM 21ST OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing