Kenya imepiga hatua kubwa katika uwezeshaji wa kiuchumi, huduma za afya, elimu na miundombinu chini ya uongozi wa Rais William Ruto. Akizungumza jana, Naibu Rais Kithure Kindiki alisema hatua zilizochukuliwa na serikali katika kipindi cha miaka minne iliyopita zimeboresha maisha na kuimarisha haki za kijamii na kiuchumi.
KITHURE KINDIKI-RIGHTS