Rais William Ruto amemkosoa Seneta wa Nairobi na kiongozi wa chama cha Equality Party, Edwin Sifuna, kufuatia madai kwamba angefutilia mbali mradi wa nyumba za bei nafuu iwapo angechaguliwa kuwa rais mwaka wa 2027. Ruto alitetea ushuru wa nyumba, akisema unasaidia katika kuunda ajira kwa vijana na wataalamu huku ukitoa makaazi bora kwa wakenya.


WILLIAM RUTO-HOUSING