Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Fred Matiang’i, amemtetea Rais wa mstaafu Uhuru Kenyatta kufuatia mashambulizi makali ya maneno kutoka kwa Rais William Ruto. Akizungumza katika mahojiano ya pamoja na vyombo vya habari, Matiang’I alimshutumu Ruto kwa tabia ya kuwalaumu viongozi wengine kwa kushindwa kwake ili kukwepa kuwajibika.

 

FRED MATIANGI-DEFEND