Wizara ya Afya inakamilisha mpango kamili wa utekelezaji ili kuboresha huduma kwa watu wanaoishi na maradhi ya dementia, ugonjwa wa Parkinson na matatizo mengine ya neva. Katibu wa Huduma za matibabu Ouma Oluga anasema unyanyapaa, ueledi mdogo na gharama ya huduma zinaendelea kufanya maisha kuwa magumu kwa watu walioathiriwa na familia zao. Anasema mpango huo utakuza huduma jumuishi na inayozingatia mtu binafsi huku ukishughulikia mahitaji ya wanafamilia na walezi.
Advertisement
October 2, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing