Spika wa zamani wa Bunge la Kitaifa na Mwenyekiti wa NCIC Francis Ole Kaparo anatoa wito kwa viongozi kuacha kufanya biashara ya matusi na badala yake kukuza umoja wa kitaifa. Kaparo anasema viongozi lazima wasaidie kurejesha utulivu nchini kwa kuachana na utamaduni wa matusi na kukumbatia mazungumzo ili kuwaunganisha Wakenya.

FRANCIS OLE KAPARO – INSULTS